1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Guillaume analiunganisha taifa kupitia elimu na michezo

15 Agosti 2022

Guillaume amekusanya wanafunzi kutoka jamii mbalimbali DRC na kuendeleza masomo ya darasani kadhalika michezo wakati huu wa likizo katika taifa hilo, wanafunzi wanaona huo ni mwanzo mpya katika kujenga jamii yenye mshikamo bila kujali ukabila

https://p.dw.com/p/4FXi8