1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Greta Thunberg

Greta Tintin Eleonora Ernman Thunberg ni mwanaharakati wa mazingira kutoka Sweden anaepigania hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na ambaye kampeni yake imepata umaarufu mkubwa kimataifa. Alizaliwa Janurari 3, 2003.

Thunberg amekuwa maarufu kutokana na tabia yake ya kutomumnya maneno wakati akizungumza, sawa akizungumza hadharini na anapowahutubia viongozi wa kisiasa, ambamo anahimiza kuchukuwa hatua za haraka juu ya kile anachokitaja kuwa mzozo wa tabianchi. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Greta Thunberg.