1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ghana

Ghana inachukuliwa kuwa moja ya mataifa yaliyo na utulivu zaidi katika kanda ya Afrika Magharibi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi 1992.

Zamani ikijulikana kama Gold Coast, Ghana ilipata uhuru wake kutoka kwa Uingereza mwaka 1957, na kuwa nchi ya kwanza ya kusini mwa jangwa la sahara kuvunja minyororo ya ukoloni. Dhahabu, kakao na hivi karibuni mafuta, ndiyo vinaunda nguzo kuu ya uchumi wa Ghana na vimesaidia kuchochea ukuaji wa kiuchumi. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Ghana.

Onesha makala zaidi