1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ghana yatimiza miaka 60 ya Uhuru

Sudi Mnette/M M T6 Machi 2017

Ghana imetimiza miaka 60 tangu kupata uhuru wake mwaka 1957. Mchambuzi wa siasa za Afrika Jenerali Ulimwengu, ambaye anasema Afrika inalo kubwa la kujifunza kutoka kwa Ghana hususan katika chaguzi kwa viongozi kukubali kushindwa na kuepusha migogoro ya kugombea madaraka

https://p.dw.com/p/2YhoS