Germain Katanga ahukumiwa miaka 12 jela | Matukio ya Afrika | DW | 23.05.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Germain Katanga ahukumiwa miaka 12 jela

Mahakama ya ICC, imemhukumu aliyekuwa kiongozi wa waasi wa kundi la FRPI Germain Katanga, kifungo cha miaka 12 jela kwa dhima aliyokuwa nayo katika uhalifu wa kivita uliotokea mwaka 2003 katika jimbo la Ituri.

Kiongozi wa Waasi Germain Katanga

Kiongozi wa Waasi Germain Katanga

Mamia ya watu waliuwawa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na waasi wa kundi hilo wanaodaiwa walipewa silaha na Germain Katanga. Kutoka Beni, mwandishi wetu John Kanyunyu ameifuatilia hukumu hiyo na katuandalia ripoti ifuatayo kuhusu hisia zilizojitokeza mashariki mwa Kongo kufutia uamuzi wa ICC.

Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Saumu Mwasimba

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada