1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gavana wa Nairobi Mike Sonko akamatwa

Amina Mjahid / MMT6 Desemba 2019

Gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko amekamatwa siku ya Ijumaa, muda mfupi baada ya mwendesha mashtaka mkuu kuamuru akamatwe kwa mashtaka ya uhalifu wa kiuchumi. Sikiliza kinachoendelea kwa kusikiliza sauti ifuatayo.

https://p.dw.com/p/3UJZh