Francis Babu: NRM bado iko imara | Makala | DW | 01.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Makala

Francis Babu: NRM bado iko imara

Kinagaubaga inaangazia siasa za nchini Uganda kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani, ambapo Lubega Emmanuel anazungumza na mwanasiasa wa siku nyingi nchini humo na mwanachama wa chama tawala - chama cha NRM, Francis Babu, ambae amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali na alikuwa anawania nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho tawala.

Sikiliza sauti 09:45