1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Filamu ya Black Panther yazua mtindo wa mavazi

12 Machi 2018

Umesikia kuhusu Filamu ya Black Panther? Filamu hiyo ambayo imepata umaarufu mkubwa baada ya kuzinduliwa duniani ikiwashirikisha waigizaji wote weusi, imegeuka kuwa maonyesho ya mitindo. Inaonyesha aina mbalimbali ya mavazi yanayopatikana kote barani Afrika. Mitindo kutoka makundi tofauti imezingatiwa waziwazi kwenye filamu hiyo. Msikilize Bruce Amani katika makala ya Vijana MchakaMchaka.

https://p.dw.com/p/2u94T