Falsafa kwenye maandishi ya Kezilahabi
28 Machi 2014Matangazo
Katika mahojiano haya ya Kiswahili Kina Wenyewe, Mohammed Khelef anazungumza na Roberto Gaudioso ambaye ni mwanafunzi wa shahada ya uzamifu ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Napolitano, Italia, na ambaye anasomea Fasihi Linganishi na kazi za Kezilahabi ni miongoni mwa sehemu ya utafiti wake.
Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.