1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Faida za programu za sauti katika simu za kisasa, smartphone

Sylvia Mwehozi/MMT17 Julai 2019

Ungana na Sylvia Mwehozi kwenye makala ya Sema Uvume akueleze kuhusu programu za sauti zinazosaidia kutoa taarifa na mambo kemkem katika simu zetu za smartphone. Na pia juhudi za Facebook na Google kuimarisha mtandao wa mawasiliano kwa kuunganisha mkonga wa chini ya bahari ili kuwezesha watu wengi afrika kupata huduma za mtandaoni.

https://p.dw.com/p/3MBdI