1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu zaidi kuhusu therapia ya densi

John Juma
3 Machi 2023

Watu wengi hutumia densi kujipa raha au kujitumbuiza mfano nyakati za sherehe. Lakini je wajua densi huweza kutumika kama sehemu ya tiba maalum? Makala ya Afya yako inaangazia therapia ya densi, inavyotekelezwa, faida zake pamoja na baadhi ya changamoto.

https://p.dw.com/p/4ODlv