Elimu Jumla – Kipindi 7 – Kuota07.04.20117 Aprili 2011Tutazungumzia ndoto tunazoota tunapokuwa tumelala. Jack anamualika Jenny kutazama filamu ya mapenzi. Mara ndoto zake zinapokaribia kutimia, Jenny anaharibu kila kit una kumuuliza “kwa nini watu huota?”https://p.dw.com/p/RGE9Matangazo