Edith Kimani wa DW aelezea maisha yake | Media Center | DW | 22.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Edith Kimani wa DW aelezea maisha yake

Mwanzoni mwa 2017, Edith Kimani aliondoka kuja Ujerumani kuanza maisha mapya na kazi mjini Berlin, kama mtangazaji wa habari wa DW. Aliacha mashabiki wengi nchini Kenya lakini alileta uzoefu wa miaka saba kama ripota na mtangazaji wa habari wa moja ya vituo vikubwa kabisa vya televisheni nchini Kenya, KTN.

Tazama vidio 01:07