1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Michezo 03.01.2022

Bruce3 Januari 2022

Maandalizi ya mwisho mwisho ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika – AFCON yaendelea nchini Cameroon licha ya kitisho cha Corona na cha usalama // Bundesliga yajiandaa kurejea kutoka mapumziko mafupi chini ya wingu la ongezeko la maambukizi ya corona miongoni mwa wachezaji // Na Liverpool na Chelsea zafanya kinyang'anyiro cha ubingwa wa Premier League kuwa mteremko kwa Manchester City

https://p.dw.com/p/455d7