DRC:Mapambano makali mjini Goma | Matukio ya Afrika | DW | 20.11.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

DRC:Mapambano makali mjini Goma

Huko Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo ripoti zinasema waasi wa kundi la M23 wameudhibiti uwanja wa ndege wa Goma.

Mapigano karibu na uwanja wa Ndege wa Goma

Mapigano karibu na uwanja wa ndege wa Goma

Hali hii ni baada ya mapambano makali yanayoendelea kati ya waasi hao na vikosi vya serikali vinavyoungwa mkono na jeshi la Umoja wa mataifa.

Kupata zaidi juu ya hali ya mambo ilivyo Amina Abubakar amezungumza hivi punde na mbunge wa jimbo la kivu ya kaskazini, Mayombo Omary Bin Fikira na kwanza alimuuliza ikiwa anaweza kuthibitisha ripoti kwamba waasi wameuteka uwanja huo wa ndege wa Goma .

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada