Dini – Kipindi 06 – Mikono iliyoungua12.04.201112 Aprili 2011Oh Hapana! Hassan ameathiriwa na mawazo mabaya! Je Leila anaweza kumsaidia? Je, Harry atafanya nini? Na je ni vipi kuhusu klabu ya mjadala? Endelea kusikiliza.https://p.dw.com/p/RHKKMatangazo