Asili na mazingiraDindéfelo:Kijiji cha mbuga ya asili SenegalTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAsili na mazingira09.12.20169 Desemba 2016Katika juhudi za kuyalinda mazingira na kuwalinda aina ya viumbe wanaokabiliwa na kitisho cha kutoweka, wakazi wa Dindéfelo nchini Senegal wamekubali mbuga ya asili kuanzishwa kijijini kwao na kufanya kampeni ya kutokomeza taka za plastiki.https://p.dw.com/p/2TzoLMatangazo