1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhima ya kilimo katika ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki

15 Oktoba 2019

Kilimo ni uti wa mgongo wa mataifa mengi barani Afrika. Katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara DW Kiswahili inajadili dhima ya kilimo katika ukuaji wa uchimi wa eneo la Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/3RJ5p