1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhana potofu kuhusu tabia za vijana zinatokana na nini?

Bruce Amani
26 Julai 2019

Wao ni hatari sana. Ni watundu, ni wavivu. Ni wajinga tu. hawana heshima. Ni baadhi ya lugha ambayo inatumiwa sana katika kuwalezea vijana. Lakini ni kweli kwamba hivyo ndivyo walivyo? Hizi dhana potofu kuhusu tabia za vijana zinatokana na nini? Na je, vipi zinavyowaathiri na vipi vijana wanavyoweza kuzikabili? Karibu katika Vijana Mchakamchaka, mimi ni Bruce Amani

https://p.dw.com/p/3MlRP