1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Demokrasia Tanzania: CCM inaimarika au upinzani unaporomoka?

Mohammed Khelef
10 Machi 2019

"Demokrasia ya Tanzania: Je, CCM inazidi kuimarika na upinzani unazidi kuporomoka?" Mwenyekiti ni Mohammed Khelef na washiriki ni pamoja na Maria Sarungi-Tsehai, Bollen Ngetti, Hamidu Bobali, na Luqman Maloto.

https://p.dw.com/p/3Ek4U