Dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV | Masuala ya Jamii | DW | 24.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

vita dhidi ya ukimwi

Dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV

Serikali ya Kenya itazindua dawa mpya zinazoaminika zitaweza kupunguza hatari ya mtu mwenye mpenzi aliye na virusi vya UKIMWI kuambukizwa. Dawa hiyo inaitwa PrEP ama kwa kirefu Pre-exposure Prophylaxis.

Sikiliza sauti 09:46

Sikiliza Makala ya Afya Yako

   

Ibrahim Lwingi, mtumiaji wa dawa ya PrEP (DW/B. Maranga)

Ibrahim Lwingi, mtumiaji wa dawa ya PrEP

           

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com