1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Cristiano Ronaldo

Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro GOIH, ComM ni mchezaji wa kulipwa wa Ureno anaecheza katika nafasi ya ushambuliaji katika klabu ya Uhispania ya Real Madrid na pia timu ya taofa ya Ureno. Ameshinda Ballon d'Or mara 5.