1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

COVID-19 yasababisha ongezeko la matukio ya kibaguzi Ujerumani

Grace Kabogo
21 Mei 2021

Utafiti uliofanywa nchini Ujerumani na Taasisi ya kupinga ubaguzi ya Antidiskriminierungsstelle des Bundes unaonyesha kwamba matukio ya kibaguzi nchini Ujerumani yameongezeka kwa kiwango cha asilimia 78 katika kipindi cha mwaka jana pekee.

https://p.dw.com/p/3ti7K

Ungana na Harrison Mwilima katika makala ya Sura ya Ujerumani, ambapo anazungumzia ongezeko hilo linaloleta mshangao mkubwa kwani matukio ya aina hiyo hayajawahi kwenda juu kwa ghafla kiasi hicho.