COVID-19 na juhudi za kufungua shule nchini Kenya | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 22.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

COVID-19 na juhudi za kufungua shule nchini Kenya

Ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona kunatilia shaka juu ya ufunguzi kamili wa shule nchini Kenya. Hii ni kufuatia baadhi ya waalimu kukutikana na virusi vya Corona katika shule mbili zilizoko mjini Mombasa. Shule hizo sasa zimefungwa. Fathiya Omar ametuandalia video ifuatayo kuangazia hali hiyo.

Tazama vidio 02:50