Corona yaisimamisha Berlin | Media Center | DW | 20.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Corona yaisimamisha Berlin

Kirusi cha corona kimeyabadilisha maisha kwa kiasi kikubwa kwenye mitaa ya mji mkuu wenye shughuli nyingi wa Ujerumani, Berlin, ambayo kwenye wakati huu wa mwanzoni mwa msimu wa Machipuko huwa imejaa watu. Hivi sasa wamejifungia majumbani mwao kujikinga na maambukizi ya kirusi hicho. Kurunzi 20.03.2020

Tazama vidio 03:03