Congo na Hatma yake. | Matukio ya Afrika | DW | 08.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Congo na Hatma yake.

Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kimsingi unatarajiwa kufanyika Disemba mwaka huu. Lakini pamoja na uchaguzi huo kuitishwa, bado kuna hali ya wasiwasi na mvutano kati ya muungano wa vyama vya upinzani na vile vinavyomuunga mkono rais Joseph Kabila. Kipindi cha maoni leo hii kinaijadili Congo na kule inakoelekea.

Sikiliza sauti 39:08