Chuo cha ndege zisizo na rubani Cote d′Ivoire | Media Center | DW | 27.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Chuo cha ndege zisizo na rubani Cote d'Ivoire

Chuo cha ndege zisizo na rubani kimeanzishwa Cote d'Ivoire kwa lengo la kusaidia katika sekta ya umeme, teknolojia, kilimo na madini. Wanafunzi wanajifunza jinsi ndege hizo zinavyoweza kukagua miundombinu na kuhakikisha usalama wake.

Tazama vidio 01:02
Sasa moja kwa moja
dakika (0)