Wakaazi wa Arusha nchini Tanzania nao wamejitokeza kupiga kura tangu mapema asubuhi. Pamoja na wengine kufanikiwa kupiga kura bila shida yoyote, wapo waliopata changamoto. Zaidi Tazama vidio hii ilioandaliwa na Veronica Natali muandishi wetu kutoka Arusha. #kurunzi