1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto za mimba za utotoni

23 Mei 2024

Kuwa mjamzito ukiwa kijana huweza kukuathiri vibaya. Utafiti kutoka Kenya unathibitisha hilo kwamba uzazi wa vijana huongeza hatari ya umaskini na unyanyasaji kwa wasichana wadogo. Licha ya changamoto hizo kuna simulizi za ujasiri na matumaini. Katika mazungumzo haya ya Daktari Caroline Vundi, Cindy anasimulia jinsi alivyoweza kubadilisha maisha yake baada ya kujifungua mtoto akiwa kijana.

https://p.dw.com/p/4gD7U