Champions League yaanza leo
18 Februari 2014Matangazo
Manchester City ya Uingereza nayo inaikaribisha Barcelona ya Uhispania. Kesho tarehe 19.02.2014 Mabingwa wa Ujerumani na ulaya Bayern Munich watakuwa mjini London kwa pambano dhidi ya Arsenal ya Uingereza. Hadi sasa Bayern haikupoteza hata mchezo mmoja katika ligi kuu ya nyumbani Bundesliga, ikiwa na pointi 16 zaidi ya Bayer Leverkusen inayoshika nafasi ya pili.
Mhariri: Mohamed Abdulrahman