1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Cebit

Maonyesho ya teknolojia ya mawasiliano CeBIT yanawasilisha mada zote muhimu za uchumi wa Tehama – zikiwemo data kubwa, App za cloud, bishara za simu za mkononi, kijamii, ulinzi wa tehama na mifano ya app za kimtandao.

Maonyesho ya Cebit mjini Hannover, Ujerumani, yametokea kuwa kivutio kwa wale wasiotaka kukosa chochote kuhusiana na mambo mapya katika tasnia ya teknolojia ya mawasiliano. Ukurasa huu unakuletea maudhui za DW kuhusu maonyesho hayo.