Burundi yasusia mazungumzo ya amani | Anza | DW | 16.02.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Burundi yasusia mazungumzo ya amani

Serikali ya Burundi yasema haitahudhuria mazungumzo ya amani, mteuliwa wa Trump kwa uwaziri wa kazi ajiengua katika wadhfa huo na Mkutano wa mataifa ya nchi tajiri kiviwanda duniani G20 wa kujadili maendeleo endelevu umeanza mjini Bonn

Tazama vidio 01:56
Sasa moja kwa moja
dakika (0)