BUKAVU: Raia watoroka mapigano
6 Septemba 2007Matangazo
Jenerali muasi Laurent Nkunda ametoa mwito wa kutafutwa upatanishi wa mataifa ya Afrika ili kufikia makubaliano ya kusimamisha mapigano katika eneo la mashariki ya Kongo.
Mapigano yamezuka katika katika eneo la Karuba kilomita 30 kutoka magharibi mwa mji wa Goma.
Mamia ya wakaazi wa eneo hilo wanaendelea kutoroka mapigano.