1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaNigeria

Bola Ahmed Adekunle Tinubu atangazwa rais mteule Nigeria

1 Machi 2023

Kwenye hotuba yake ya ushindi, Tinubu, mwanasiasa mkongwe Nigeria mwenye umri wa miaka 70 amewahimiza waliokuwa wagombea wenzake kuungana naye kuitumikia Nigeria. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4O72e