Changamoto katika vituo vya kura26.10.201526 Oktoba 2015Msemaji wa mtandao wa mashirika yanayochunguza uchaguzi mkuu nchini Tanzania, Bi Helen Kidjo Bisimba anasema ingawa zoezi la uchaguzi nchini humo lilianza vyema Jumapili, hitilafu zilijitokeza katika vituo vingi.https://p.dw.com/p/1GuVZPicha: DW/J. HahnMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio