Bila juhudi hakuna maendeleo - Vijana | Afrika yasonga mbele | DW | 08.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Afrika yasonga mbele

Bila juhudi hakuna maendeleo - Vijana

Peter Kiberenge ni muasisi wa kikundi cha ‚Nguvu Kazi‘ mjini Mwanza, ambaye sera yake ni kuwahamisisha vijana kutoka makundi mabaya kama madawa ya kulevya, ujambazi na ubakaji ili kila mtu apate kujitegemea.

Sikiliza sauti 09:45

„Vijana! - Bila juhudi hakuna maendeleo.“

Kusikiliza makala ya Vijana Tugutuke bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com