Baraza la Usalama la UN lakataa ombi la DRC | Masuala ya Jamii | DW | 19.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Baraza la Usalama la UN lakataa ombi la DRC

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hivi karibuni limekataa ombi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kupunguza idadi ya wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini humo MONUSCO kwa hoja kuwa wanahitajika

DR Kongo MONUSCO Mission

Mlinzi wa amani wa MONUSCO nchini DRC

Katika mahojiano ya Kinagaubaga Mohammed Dahman anazungumza na mbunge wa taifa wa upinzani wa Uvira jimbo la kivu kusini mashariki mwa Congo Justin Bitakwira ambaye anaiunga mkono serikali kushinikiza kuondolewa kwa kikosi cha MONUSCO. Kusiliza mahojiano hayo bonyeza kitufe cha alama za kusikilizia hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com