1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uhuru wa vyombo vya habari

Baraza la habari Tanzania lasikitishwa magazeti kufungiwa

24 Juni 2020

Baraza la habari Tanzania MCT, limesikitishwa na kuendelea kufungiwa kwa magazeti nchini humo likidai vitendo hivyo vinaathiri uhuru wa vyombo vya habari. Gazeti la Tanzania Daima ni la kribuni kufutiwa leseni ya uchapishaji. Katibu mtendaji wa MCT Kajubi Mkajanga ametoa wito ufuatao.

https://p.dw.com/p/3eGF1