BAKUBA:watu wapatao 28 wauawa nchini Irak
25 Septemba 2007Matangazo
Idadi ya watu waliouawa katika shambulio la bomu katika mji wa Bakuba nchini Irak sasa imefikia 28.
Mshambuliaji wa kujitoa mhanga alijilipua ndani ya msikiti wakati watu walipokuwa wanafuturu
. Viongozi wa kishia na kisuni walikuwamo msikitini humo, pamoja na gavana na mkuu wa polisi wa mji wa Bakuba wakati wa shambulio hilo.Watu wengine 25 walijeruhiwa.