Bahari inayotumika kwa mafunzo nchini Ujerumani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 08.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Bahari inayotumika kwa mafunzo nchini Ujerumani

Huko kaskazini mwa Ujerumani kuna bahari maarufu ambayo kupwa na kujaa kwake maji kumefanya itambulike kuwa turathi ya dunia. Wanafunzi na makundi ya watu mbalimbali hutembelea bahari hiyo kwa mafunzo na kustarehe.

Tazama vidio 03:14