1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bagamoyo: Mwanamazingira mashuhuri

1 Mei 2020

https://p.dw.com/p/3cElO

Amejizolea sifa kedekede kutokana na mapenyzi yake ya kulinda na kuhifadhi mazingira. Mama huyu mkaazi wa Bagamoyo amepanda aina nyingi ya miti asilia kwenye shamba lake.