1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Baden-Württemberg

Baden-Württemberg ni mkoa uliopo kusinimagharibi mwa Ujerumani. Ni mkoa wa tatu kwa ukubwa pamoja na wingi wa watu. Ukubwa wake ni kilomita za mraba 35,742 na wakaazi wote ni milioni 10.7.

Mji mkuu wa mkoa huwo na ambao ndio mji mkubwa kabisa ni Stuttgart. Ni mkoa ulio na makampuni mengi makubwa – kama vile Mercedes-Benz.