1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Azerbaijan

Azerbaijan ni nchi ilyoko katika kanda ya kusini mwa Caucasus. Ni taifa mwanachama wa Baraza la Ulaya, shirika la OSCE na programu ya ushirikiano wa amani ya jumuiya ya NATO.

Azerbaijan iko kwenye bahari ya Caspian, na inapakana pia na Urusi, Georgia, Armenia na Iran. Kuanzia 1920 hadi 1991, ilikuwa sehemu ya muungano wa Kisovieti. Ina wakaazi wapatao 9,800,000. Mji mkuu wa Azerbaijan ni Baku. Hapa utapata maudhui za DW kuhusu Azerbaijan.

Onesha makala zaidi