1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za mtandao wa intaneti na televisheni katika familia

17 Mei 2022

Teknolojia inachangia kwa kiasi fulani kupunguza uhusiano wa kifamilia na muda wao kukaa pamoja na imebadilisha njia ambazo familia inatumia kuwasiliana. Ni upi msingi wa mtandao wa intaneti na wajibu wa uhusiano wa familia na zipi athari za matumizi ya mtandao na televisheni katika familia?

https://p.dw.com/p/4BPbU