Apps zinatengenezwa kusudi kukunasa mtumiaji | Masuala ya Jamii | DW | 14.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Apps zinatengenezwa kusudi kukunasa mtumiaji

Katika Sema Uvume utasikia jinsi App inavyowasaidia wakulima Ghana kuuza mazao kiurahisi. Lakini Apps pia hutengenezwa kusudi kuwanasa watumiaji wawe tegemezi. Ukijikuta huwezi kuachana na simu yako, ujuwe hiyo ndiyo sababu.

Sikiliza sauti 09:46