1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

APEC

Asia-Pasific Economic Forum (APEC) ni jukwaa la ushirikiano wa kiuchumi wa nchi zote zinazopakana na Bahari ya Pasifiki. Lilianzishwa mwaka 1989 kutokana na kuinuka kiuchumi kwa mataifa ya Asia.