AfyaAlopecia: Nywele kunyofoka na kuacha upara kichwaniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaThelma Mwadzaya03.08.20203 Agosti 2020Katika makala ya Afya Yako, safari hii tunaangazia tatizo la nywele kunyofoka na kuacha kichwa na upara. Tatizo hilo linajulikana kwa lugha ya kimatibabu kama Alopecia. Thelma Mwadzaya anasimulia zaidi. https://p.dw.com/p/3gJdJMatangazo