Alfonso Dhlakama wa Msumbiji aaga dunia | Media Center | DW | 04.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Alfonso Dhlakama wa Msumbiji aaga dunia

Kiongozi wa zamani wa waasi na kiongozi wa upinzani wa muda mrefu nchini Msumbiji Alfonso Dhlakama ameaga dunia. Dhlakama amefariki akiwa na umri wa miaka 65 kutokana na kile vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa ni mshtuko wa moyo.

Tazama vidio 01:28
Sasa moja kwa moja
dakika (0)