Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Ai Weiwei ni msanii na mpinzani wa Kichina, ambaye sasa anaishi nchini Ujerumani.
Alikamatwa na kuwekwa kizuizini kwa “uhalifu wa kiuchumi” mwaka 2011, lakini baadaye akaachiwa huru.
Maafisa wa China wamemuacha huru msanii maarufu na mpinzani nchini humo Ai Wei wei kwa dhamana. Ai ameachwa huru kwasababu za kiafya na kukiri kukwepa kulipa kodi kwa mujibu wa maafisa hao.