1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ahadi isiyotimia yageuka kilio kwa wakaazi wa Likong'o Tanzania

30 Machi 2020

Wakaazi wa mtaa wa Likong'o Tanzania wanasema hawana raha kwa sababu ahadi waliyopewa haijatimizwa. Ahadi wanayosema imewaacha katika hali ya sintofahamu huku wakibweteka tu. Je ni ahadi gani hiyo? Mradi uliosababisha ahadi kutolewa ni upi? Salma mkalibala anasimulia kilio cha wakaazi hao.

https://p.dw.com/p/3aClU